This is a heading

 
Kuwa na mwongozo ni bora

Nita Kuwa Naweka Yajayo

Kwenye yajayo nita weka a to z 1 mpaka namba yeyote kuelezea majina na walio ni inspire on mylife, walio fanya niwe hapa, niwe na pumzi hii ilio nyimwa wengi walio kesha kuni pigania haki zangu, ki siri na ki mahakama popote nilipo pandishwa mahakamani afrika na ulaya.

Kwenye uwepo wenu watu wa kawaida kabisa na watu wa kimataifa kabisa, nitakao wakumbuka, au kumbushwa au wasoma na kuwaelewa nita jaribu kupata nafasi ya kuelezea mazuri na mabaya yenu katika mimi, as me nakuja kama dunia ya wale wote tulio pishana kidogo na mafunzo ya dini mbali mbali duniani, na kubwa kuliko zote kwa wale walio kosa pa kufiti kwenye dini mbali mbali, bila kusahau kuwainua na kuwa taja walio pigania maisha yao hai au wafu kwa kile walicho au walivyo amini kuwa ni haki ya binadamu wa agano jipya agano endelevu na agano la kipekee lakisasa kabisa, .


Hapa chini daily popote nilipo nita kuwa naongeza topiki za what next, na ku hakikisha kama kuna zilizo rukwa zina rudiwa na kusawazishwa, na kuwekwa salama.

najua wengi hawata penda napo gusia mapenzi na terorism na pia kovid as they are very sensitive issue kwenye karne hii na pia kwenye mwanzo wa miaka 2000+ ya agano endelevu lisilo fungamana na upande wowote.

1. viongozi nilio wasikia na kukulia
2. miji nilio kulia vijiji na vitongoji na ntakavjo tembelea 
as i need to see and hear and touch each and every religion on planet earth nasikia kuna dini zaidi ya elfu 4 najua nne tu
3. malaika wangu walio kuwepo nilipo wahitaji in flesh na spiritual
4. 
5.video ziambatane na maandiko ya REMI APP. onyo na wosia wa bida
6
7
8
9
list itaendelea na hii list nataka ije kuwa ndio table of content , na sehemu ya watu kupata topics wanazo taka kujua ..

labda zita kuwa na sub topics na pia small contents to as small as chapta na kurasa na verses

Mfano:-
1. a kirumi

Sijajua baanda ya the above , or at left kwa desktop browsers,  Hapa nita endeleza list iyo iyo au..

Ndio maana inaitwa agano endelevu:-
This is a paragraph. To edit this paragraph, highlight the text and replace it with your own fresh content. Moving this text widget is no problem. Simply drag and drop the widget to your area of choice. Use this space to talk about your experience and what makes you an expert in your field.

Contact me:
E-mail: your.email@example.com
Phone number: +1 (555) 555 1000

Facebook / Instagram / Twitter / LinkedIn

© Copyright www.neno.life