Neno La Mwezi wa 8.2023

 
Waraka wa bida kwa wa Afrika

Alie Tangulia Katangualia Usi M-block

Kuingia UK mpaka ukubaliwe ni lazma uteseke au upitie changa moto za miaka 12, yani hii ndio mika 12 ya utumwa, ni kwamba hata waingereza wenyewe wana ipitia bila kujijua endapo wana amua kurudi makwao kiholela kutoka waliko bobea au walipo chana au kuukana uingereza,

uzuri wa miaka 12 ya utumwa ni kwamba huwezi jijua na wanao kufanyisha huo utumwa nao hawajui au hawawezi jua, hivyo ni ngoma droo, hakuna wa kulaumiwa, na alie karibu yako kabisa, ana weza kuwa ndio Delila wako, namaanisa mpenzi sio lazma awe wakike hat awa kiume ni Delila tu.

kwenye ukweli juu ya nilio yapitia au ona walio yapitia, ni pale unapo heap, au kwa bahati mbaya au nzuri hauku pitia wanacho kiita western education, kwamba utatua na kuanza kuboresha na kuzalisha Maisha ya kila siku ya pour westerners ambao hawana mbele wala nyuma wagonjwa kwa watu wazima, wanao ijaza England na kufanya uongozi kuwa na kazi za kuamkia kila jumatatu. Kule a nao waita miumi ma king and queens, ila ulimwengu wa tatu wana itwa mazezeta, wasio na thamani kwenye nchi kwa ulemavu wao.

tukirudi kwenye ukweli juu ya maandiko, hii ni system, nilipo kuja UK na kupitia yangu, sorry sio kila mmoja atapitia nilo yapitia, na hii ni mpaka kwa walio toka carebians, kama ume kwepesha kwepesha ume leta janja janja utajikutata kwenye hili kurunzi , mwalimu wangu wa chuo kenya mr visent lulee ana kwambia bapendebasi pende,

well serikali zilizo tengulia zilisha weka system, tunao ishi sasa ni tuna tekeleaza na kuboresha vya walio tutangulia, ndio maana maandiko anu wazee husema tuwaheshimu na kuwasikiliza walio tutangulia, hapa huwa natoa mfano wa kuzika mgomba na kusema hakuna kifo, ni watu wana amishwa tu lokesheni na Kwenda kuwa watu wapya huko waendako, mpaka mwisho wao unapo fika ila sijui kama neno kifo limekamilika na maana yake ni kamili, as kilikuepo kifo kabla ya neno. Yes kabla ya mungu , things used to reach an end. Vilikuwa vina itwaje au wanasema vime fikia wapi.

wame toa muvi ya kunijuza kuwa miaka 12 ya utumwa ime anza, kwa werevu wangu sikupata muda hat awa dakila 90 kuangalia hiii muvi, najua unajua kwanini, kwasababu watumwa hawana mud awa kuangalia sinema na kusosholize, hivyo nilikuwa mtumwa na wengine wakiniangalia kunidhihaki na kunicheka yusufu wa milenia, mtumwa kwenye nchi ya ahadi, mfalme chura aka ntapitia makoti ya rangi za ajabu nnayo mpaka leo, na kuwa mfalme at the end.

kwa walio waelewa kwenye innercycle yangu wali nielewa , john mcbride, nae ni mscotland , mungu alivyo wa ajabu mzungu nae alipitia miaka 12 ya utumwa kwa makosa alio yafanya yeye ya kuikwepa elimu alio pew ana kujiingiza kwenye tungi kupindukia na kuitaka pensheni kabla ya siku zake,

hawa mababu wa wazungu walisha pitia kila kona yah ii dunia, walisha ona yote tunayo yaita uvumbuzi na entrepreneurship, achilia mbali innovation na mengineyo. Tunapo sema muachie mungu, au muombe mungu au kuna mungu, sio kwamba tulishindwa kukweleza kuwa neno mungu lina maana gani, kukwambia kuwa kuna walio tangulia waka batiza jina hili na kuli maanisha liwe neno na neno ndio litakavyo kuwa milele yote.

Sisemi kwamba vita ya western, especially muingereza na mtu mweusi ime isha, na sisemi kuwa vita ya dunia ya maendeleo ya dunia na watu wa rangi mbali mbali zime isha, ila kama muingereza alipewa jukumu la kuizunguka dunia, kuieleza what is what when to do what kwa wich language and what protocol, leo hii usi niulize kwanini, kifaransa na kijerumani havijawa lugha kubwa kuliko kiingereza, nak ama kiingereza ni rahisi ndio maana kikawa lugha kubwa so whay kispaniola na kijapani havijawa lugha za dunia hata top 3 tu kama 10 ten nayo inawezekana wapewe, ina kuwaje kiarabu lugha ngumu kuliko zot eina shika hatamu duniani na kuwa lugha mama, kuliko zote wakati, inaandikwa kutokea kushoto, na maandishi yake ni makolokocho makolokocho , na watu wengi wana ielewa , tena wengi kuliko pochogizi , frenchi na duchi.

whenye macho ame ambiwa soma, yes ona, na mwenye masikio asikilize kwa umakini na alie weza kunena wacha anenen, maana hii ni era ya neno. Yes neno kapigwa vita kabla hata huja amka majogoo, lakini kuna nchi Scandinavia hazijui hata kiingereza ni mdudu gani, wana kula , wana ishi, wana endelea na daily diligent zao, a lot of European countries hawajui kiingereza ni mdudu gani, na wala hawana mud awa kuhamia uingereza wakitokea wame pata bahati basi wata rudi ma kwao.

somo la leo ni kwamba dunia ime mpa muingereza hatamu ya kuiongoza dunia, kuwa Malaika mkuu, ila sio lazma awe yule lusifa, naomba mnielewe, hivyo atakalo liambia dunia muingereza lita fika kona zote, wakati kwa walio mpa muingereza hiyo pawa wana weza hata wasijue kinacho endelea, unazani norwey au uswizi wana jua kuwa korona ili ua watu amerika na uingereza na Italiano, nak ama rome ni mahala patakatifu iwa korona iingie kwenye mila 7 sijui 12 ya dhahabu , mbingu zinazo lindwa na Malaika, kusipo kuwa na nondo wala wevi.

Off course ni wakati wa neno, miaka 2000 ya agano jipya ime pita, ime kuja miaka 2000+++ ya agano la king Bida, kumbuka kuna king David alipita na agano lake au maandiko yake. Any way. Kwawale wanaotaka kujua mapito na Maisha ya John, na mpaka alipo fikia. Sawa kabisa nita wapa, ninyi na kizazi mpaka kizazi chenu black and white.

Nilivunja zizi la mbuzi, waswahili tuna msemo wa mbuzi anakula kwa urefu wa Kamba yake, ila ukiwa na mbuzi wengi kama masai, una fuga kwenye zizi lasivyo kama zita wasokota nak uji nyongolota wafe. Nime yashinda mauti ma kaza wa kaza, hilo ni somo tofauti. Ukweli ni kwamba kutokuwa na elimu, au kusoma sana sio kinacho mpeleka mtu Europe au kufanya ukaishi UINGEREzA kama mimi, A. nilazma uwe wito, B. You don’t need viza neither do Passport to go the no need of travel money Transport is free, to get there, ndio maana wana itwa matajiri. Wana ndege za ma milioni kwa ma bilioni, una taka kusema tu dol amia twako ndio kuta wafanya wao rich nation au kampuni. Get over yourself. Sawa na wale wanao sema Guns is a best and big business mpaka vita zina zuliwa ili watu wauze zana za kivita. Kwakweli mna nitia kichefu chefu. Nani anae tengeneza biashara biala kujua soko lilipo eti , aje awachonganishe ndio awauzie bidhaa zake. Gun is fushion, kama mkanda na cheni, ndio maana ina valiwa kiunoni, na begani, zilizo wekwa kwenye pochi uliza soko lake lipo vipi.

Nili kata kubaki na mbuzi wengine shambani, kifupi niliteuliwa, nili goma kurudi , kuishi free shambani, again niliteuliwa, kwa yangu maono, matendo na utofauti wangu, wame leta skendo, news wame Andika vitabu na tamthilia, they will always rush and run to sells and sells hata kama wanacho pata ni peanuts, kumbuka nilisha semaga kwenye masomo ya biashara wanafundishwa kuwa kuna watu wanao enda kazini sio tu kwa sababu ya mishahara, wengine ni wana boeka kukaa nyumbani, na wana penda ule msukumo na kuwa chini ya some one anae waamulia maamuzi yao , mpaka utakula nini, saangapi, uta vaaa nini na nini juma ngapi, huwezi kwepesha kwenye hilo. Kama ume pata bahati ya kuwajua wadudu, jaribu kuangalia mchwa na nyuki, kuna walio zaliwa kwa ajili ya shughuli tena shughuli moja tu mpaka kifo chao. Na bina damu tuna Maisha kama yao. Jaribu kufananisha utaona wakike n awa kiume, kuaa na kuzalisha, sijui kama unataka nianze kuchambua mabausa na wana riadha  etc.


Basi sikutaka katika neno la bid ani choronge saaaana na kudadavua visivyo kwenye map, ila mpaka dini zina ingia afrika, na utumwa ina maana vitabu kama vya ramani, na pia vya utumwa vilikuwa vimesha andikwa , swala kubwa la kuzingatiwa ni kwamba kila jambu huwa lina alfa na omega, na kwa kupigilia msumari walisema hii au kwenye dini ndio alfa na omega, tatizo hawakujua kuwa ni kama king bida alivyo nenna kwenye winbo wake wa Hip-Hop para kuwa hip-Hop itavuka miaka Zaidi ya 90 na kitu nab ado wata hitajika watu , yani watu wa kurap. Kwenye maandiko walizani, wame hitimisha, kwakuwa ni kama tamthilia , maandiko na sinema au wimbo na hutuba lazma view na mwisho, Ila king Bida ana sema Agano la Kitekinolojia halitakuwa na mwisho, ni endelevu. Hivyo Watoto wa mjini tunasema tume pindua meza kuona chini kuna nini, mavazi na utimilifu wa maandiko


It is hard to believe, ni vigumu kumeza na haswa kuwa katika era ambayo yanayo nenwa ndio yanayo endelea, ina kuwa ni kitu cha kama mazinga ombwe. Watu wame zoea news, after math after tukio, kipi kilijiri, na walio weza kutabiri miaka ya nyuma juu ya kijacho waliiitwa ma king au ma kwini, tofauti na sasa msoma Habari za hali ya hewa ana onekana ka mpiga soga tu haswa kwa uingereza ambapo hali ya hewa ina badilika kila dakika kazaa wa kaza.

Hivi watu washa jiuliza asia kuna ukristo kiasi gani na uislam kiasi gani, wachina wana abudu nini, wajapani wana Sali wapi, wakorea padri na mchungaji wao wana muita nani, wana vaa vipi wana Sali vipi, wana miungu wapi, au wana keshea kwenye yepi. Mi sitaki hata kusafiri nijue hayo maana yalio nijaa kichwani kwangu kwenye hii miaka 40 ya ukristo wangu yana nitosha, mimi na wana familia yangu ambao ni wewe na yeyote yule anae sadiki maono yangu, kumbuka jesus alio kuwa na uwezo wa kutabiri kifo chake na ufufuko wake, cha ajabu katutosa kwenye kurudi kwake. Mnge penda niwaletee maandiko yenye kuwaacha mkiwa hanging mkijiuliza nini is nini na what is what.

well basi tuingie ndani kidogo kuona kama, bila madini dunia ina weza Kwenda na kuendelea , maana vita kuu sasa ni kilicho ardhini, na narudia tena sio madini, ni vumbi aka dust, watu wana acha kupigania kitokacho kwenye vumbi ambacho ni produce products chakula na mijengo na kila tukionacho, wana sahau walitoka mavumbini wata rudi mavumbini, sorry bado nalifanyia kazi swala la kutoka kwenye maji na kurudi kwenye maji, maana kwa some reasons wana sayansi wana sema tume tokea majini, sijui ziwani au mtoni au baharini, ila nilisikia kuwa nyma ya mtu ina chumvi, wakati nyama nilizo wahi kula kasoro ngulu tu zote ni lazma ule nachumvi laba kama wewe ni mmasai au mchaga.

 

Any way kwenye neno la Bida, naishia hapo, kuwa dunia tuliikuta , labda tuta iacha, ila kwa tunapo elekea juu ya mambo ya Imani, kuna mengi ya kujifunza, the best thing katika Maisha ni kuinjo life, angalia Wanya, achana na wadudu, maana bado sija jua wana hangaika kujenga nini, na kuishi sehemu kubwa wengineo kwanini, kama mchwa, wakati chakula chao hakijai hata punge yan cha ya pini, cha kumshukuru mungu napo kuwa on my zone, napo poromosha maneno ya hekima, kama sasa , mpaka mbingu huwa zina funga mawingu, magari trafiki zina katika kabisa si sikii hata mgurumo wa gari piki pikmi wala baiskeli, majirani walio kuwa wana piga makeleele lisaa nilipo anza wana kuwa kimyaaa mpaka nawaza niendelee Zaidi, lakini, kwa kukeep my mental health safe, I feel like I need break, I neeed , drink.

wana sema mbinguni hakuna njaa, sijajua juu ya hilo, ila maranyingi tu tokea utoto wangu nime kuwa nikiishi na njaa, na kupitiliza saa za kula asubuhi au mchana au jioni, na kula napo pata au napo sikia njaa, ina maana Maisha yangu yote nime kuwa nikiishi mbinguni. Ni miujiza.

anyway, juu ya walio tangulia na upeop wao kugota kabla ya tekinolojia, siwalaumu, kwani hata sasa leo hii tekinolojia ipo kwenye umri wangu, miaka 40 tu, sasa una weza jiuliza kama miaka 2000 ya agano jipya lilipo anzia kuli kuwa na mtu alie jua kuwa kuna kitu kina itwa internet, aiu alipo toa ushuhuda alipigwa mawe mpaka kufa, kisa alionekana ana mapepo au kichaa kama yesu alivyo vurumisha bidhaa za wafanya biashara kwenye hekalu la baba yake, la baba yetu.

Kwahiyo yes, angalia usiwe mtumwa, hakikisha usiwe mtuma, na saaingine unae muona mkuu kwako ni ana weza kuwa mtumwa, ume sha wahi kujiuliza kwanini , waingereza ni kazi juuu ya kazi, time is money, na pia hawana mud awa kucheka cheka ovyo, na wapo bize na bizness, hata kama ni komedy n ani kitu cha burudani wao wana kifanya kuwa siriaz .

kwenye nchi au bara au jamii unayo toka huja wahi ona baadhi ya watu w=familia binafsi au kabila wana itwa watu wa biashara, wabaisi, watu wadini na mengineyo mengi bila kusahau wakulima, wafugaji na wasafiri, mi nasemekana nime tokea kwa wachaga walinda mlima kilimanjaro, eti ka dini kadooogo kama kilo moja kaliko toka aridhini ,hata kama nit ani, kana leta vita nchi Fulani, wakati Mlima Kilimanjaro, wakenya na watanzania wala hawa ugombanii, n ani mkubwa kuliko almasi, dhahabu, na silva,au gemstone yeyote. Hushangai, kichanga cha macho, ume ambiwa almasi ni za kuchezea bao toka enzi za mababu, kaja mpita njia kisa haja wahi ona aina yam awe vumbi kama hilo, kakusanya kawapa gololi , sasa mna uwana kumuuzia mawe, mna shindwa hata kuchimba kokoto mjenge nyumba za maana mna poteza muda miles na malies na ma kilometa na Maisha kuchimba taka taka na kusahau kilimo ndio uti wa mgongo Nyerere alisha sema, na mama samia katoa heka 10 kumi kwa vijana , muwe na mashamba kwamaana shamba lina kila kitu mpaka hayo mawe ya rangi rangi, lakini waaaaapi, mnma taka Kwenda mbali, kuchimba ushumbari, kiti kisicho ezeka bati wala kujenga ukuta au kuweka dirisha Watoto wasipigwe na baridi, kuna aina ya maru maru nzuri sana kwa sakafu, kokoto nzuri na imara za ujezi wa nyumba bora afrika hamtaki, mana taka , noti, karatasi, pesa, badala ya kupanda ngano, mfuge nambuzi kondoo, kuku mpate hambaga nab aga, mtakalia kula pumba chakula cha mifugo maishi mna ita ugali na uji, ngano mna tengenezea vileo Watoto wan alala njaa. Poleni sana

miaka 12 ya utumwa nimeimaliza salama, nipo huru, mtanisikia, niona na kuwajibu maswali yenu yoooote mpaka putinina uchina, waseme lengo lao afrika ni chakula au madini, eti ukreni ina ongoza kwa kuuza nafaka na mafuta, umewahi kusikia utopolo kama huo, hivi una jua kuwa magharibi wana kilimi cha kisasa afrika hakija wahi tokea, hivi mna kaa mijini, mme wahi Kwenda tembelea mashamba ya , chai, kahawa, pamba, maharage, nafaka , uvuvi, etc mmbali mbali

hawa waandishi wa Habari wa ku kopi na kupesti, serikali na taasisi za Habari kwa jamii zina watolea macho na kuwachekea kwanini, wana tangaza r.keli Kwenda jela marekani wakati kijijini kwao kuna Watoto wana bakaw kila kukichwa, kuna watu wana fanyishwa kazi bila kupenda na chini ya umri, kuna Habari za ndani ya nchi kila kukicha, watu wame ibiwa, watu wame lala njaa, watu hawana kodi za nyumba, watu wana Kwenda kanisani wakati waislamu, wana Kwenda kuoa uislamuni wakati wakristo, news every kona I go, mta zitangaza lini, au mpaka kijana mdogo chukue nchi bukinafaso ndio mtu kumbushie ya idi amini, look around, bring news zinazo husu Kijiji chetu, mkoa wetu , jiji letu, sio maji hakuna southafrika, wakati kuna mafuriko yana uwa east afrika.

tukutane soo, wana hiita John A. M niite Neno

Na hilo ndio neno la bida kwa leo 03.08.2023 neno time 14:14

Contact me: Neno
E-mail: Neno@neno.life
Phone number: Neno

Facebook / Instagram / Twitter / LinkedIn

© Neno