Neno = God

By Neno

Sasa una weza Relax. 
Waambie.. Namjua Neno.
John 1:1 Ina sema Neno Ni Mungu.

Nina maneno ya hekima ya kutuongoza kwenye ulimwengu huu wa sasa wa technology. Kwenye Agano la Kitekinolojia. Agano la Kisasa kabisa, ndio kwanza lina miaka 23 na ni majuzi tu tokea liwe registared and official available world wide Kuzimu na Peponi, Ahera na Mbinguni.

Maneno mapya yanayo endana na miaka tuliopo baada ya  miaka 2000BC + 2000AD. Now we have got Neno to infinity.  The editable Neno will live forever. Yata ongezwa maneno na mafuzo ya walio pita tuwajuao lakini hawa kupata nafasi ya kuingia kwenye maandioko yalio tangulia.  Na sasa Tunaenda waweka walio kuwepo enzi au era zetu, ambao watakatokea, wata kao kuwepo kwenye neno kama manabii, au mitume wa ulimwengu huu tuishio, walio wezesha kufanya maisha yawe yalivyo kwa kila mtu. Matamu na machungu, walio fanya mazuri na mabaya. Nitasema na kuongea , kwa maandishi, sauti na mionekano, Neno lita orodheshwa. Nita nena. Nita toa Neno kwa kila neno.  

Bado natafuta jina kamili la kutumia kuwa ita mashujaa wetu, walio tuwezesha , walio tuongoza , walio tuweka na kutuvusha salama, mpaka kwenye muhula huu wa kiteknolojia.

Najua maneno Kutoka lugha na makabila mbali mbali ya dunia, yata tupa msemo/misemo sahihi, ambayo sio real cheo, bali utambulisho wa kawaida tu.

Nikikosa nita endelea kutumia yalio pita, kuya dumisha na kuya heshimisha, ila mimi sio kamusi, so usitegemee a2z kila kitu kitakuwa right, au kuwa kina tolewa lugha uijuayo na kuletwa kwenye yako. 

Mwanzo siku nena
Neno = Word

Nime sema
Neno = God

Writer: Neno
Editor: Neno

By Neno
Kama huja wahi kufanya mistake: Mkosoe Neno.

Contact: Neno
E-mail: Neno@neno.life
Phone number: Neno

Facebook / Instagram / Twitter / LinkedIn

About Neno

Naitwa Neno sina maneno, ila nina mifano hai ya tokea enzi za maagano yooote yalio pita, na nime subiria kwa miaka 23 sasa tokea miaka 2000AD ipite, na sikuona alie jitokeza na kusema yeye ndio neno. Nadhani ni wakati wa kitecnolojia na haki kwa kila mmoja kuwa na presence za Neno, some one they can see, feel, touch, and talk to when there is a chance, some one they can ask, and will have answers, for what they do do need to know right now and then, Neno nita waeleza ukweli, kama hakuna jibu, kama sijui, au kama nasubiria utafiti na ukweli ufike kutoka kwa walio pewa mamlaka/oda kutoka kwa Neno walete ukweli wa maneno. Neno hata kuwa na muda, wala ujuzi wakuonesha shuhuda za kisayansi au mazingira vitu na vinginevyo kwa picha na michoro, maana Nina amini kwenye Maneno. as sio place ya promosheni wala kuonesha nani, na nini yupo au kipo juu zaidi ya kingine au mwingine. 

Nita ongeza na kupunguza as i see fit au hali fiti, sita wapandi wala washusha kwa kuwaaibisha walio tangulia waliopo wala kutabiri. tupo na tuta endelea kuwepo kwenye wakati uliopo na waliopo , milele na milele.. 

Nina ushuhuda mwingi wa nilio yasikia, yasoma, yaona, yatenda na kutendwa, kimwenyewe kujitenda kinilio watenda, nilio ona wakitendwanilishiriki au shirikishwa kuya tenda na ninayo endelea kuyatenda.

Yapo mazuri na mabaye , ya watu , viumbe hai na visivyo hai, walio na maneno na wasio, walio na wasemaji na wasi, nilio washuhudia wakitenda mambo mengi ya kiimani, nilio ona wana hitaju kuwa kwenye recodi za ma nabii, mitume, na washuhuda, watu wakawaida, na walio hai au walio kufa, watakao ingia kwenye maandandiko haya, ambayo sija jua kama nita yaita matakatifu, kwamaana hata neno takatifu, nita lichambua na kulinyambua kwa lugha zote za dunia, mpaka miti, upepo maji na mwawe, mchanga na vumbi, hata madini viweze sema utakatifu ni nini. 

Neno sio mpinga dini wala imani, neno nipo hapa kuziendeleza zilizo tangulia, kuwa pa hope na kuwapa mwanga walio taka kuta tamaa kwenye kila jambo, kila kona , kila nyanja. 

Na The most important, wale wote waliokosa mahala pa kosa mahala maalum pa kiimani, au walikua mguu ndani mguu nje, Now mna weza kuwa na mahala, mtakapo paita home.

Itikadi, mila na desturi, tabia na maisha ya watu na kila kilicho tuzunguka vita heshimiwana kuaminiwa. Bila wewe hakuna sisi, uwe chini ya ardhi au kati au angani. Uwepo wako ni Neno Tosha

Neno lilikuwepo, lipo, na lita endelea kuwepo milele yote.
Nakwa kuanza rasmi kwenye ulimwengu wa Technolojia. 
Leo Tarehe 25.06.2023 Tuta kuwa pamoja, hata milele yete.

Karibu

Neno
Neno 1:1

 Maneno

June 2023 to infinity

Neno

Muendelezaji wa Neno

Nita hakikisha mna pata maneno sio tu kwa maandishi bali kwa uweza wowote ambo technology ita tupatia. Hii ni kuhakikisha kila mmoja ana pata Neno kwa style yake aipendayo popote alipo, wakati wowote hata kwa ulemavu walio nao, na ikibidi kwa codes ili walio vifungoni mwa mapenzi au wana tawaliwa waweze access neno na kupata misaada mbadala na majibu yao.

Neno Nna Maneno

2003 to infinity
Life Psychology 

Daily Normal Life

Neno D'z& D's

No Call
No Text
No Emails
Read Listen & Watch
[Maneno by video's yana kuja soon]

Language
Swahili/English

No Comments
No Likes
Don't Follow Neno
Neno Will Follow You

Strictly
No Questions
No No InterViews
No Photos
No Politics 
No Requests

Enjoy 
Neno
No.0230620230

Shuhuda

Katika maisha ya Neno 40 years plus, nimeona mengi, nifanya mengi, guswa na wengi, shikwa mkono na wengi , tendwa na wengi, kanwa na wengi, kimbizwa na wengi, salitiwa na wengi, na mengineyo mengi. 

Ila bila hayo Neno asinge kuwa hapa na kusema haya mengi. Kwa usiku wa tarehe 25.06.2023 saa sita usiku mpaka 8 A. M Neno Time. Aliweza andika maneno 10, 000 mbali ya maandalizi ya muda mrefu, hili ndili lililo pelekea kusema. It is a right time and right place, on internet. Neno time, Neno 

Neno lita gusa mpaka ambapo hapaja wahi kuguswa.
Lita dumu na kuenziwa. Ni endelevu, lita editiwa na kuwekwa sawa na ku kosolewa palipo na dosari.

Kama binadamu ndio kiumbe mwenye akili kuliko wote na kashindwa kum bainisha Neno ni nani, au kuweka kontact original za Neno.

Mpaka kufikia muda Neno kuona tuna potezewa muda , wa kupata maneno, na kuwapa watu maneno. Kama Neno ni siri, kwa nini ilisemwa kuna neno.

Kama kifo ni siri, kwanini kuna kifo.
Tuna kwenda kupekenyua. Kunyambua, Kuchimbua na Kutifua.

Watu wawe huru, Waishi kwa imani na kuchagua. Neno ni mahala pekee kwa wote wenye kuutafuta ukweli, sio tunajaribu, bali tuna weka bayana, uwezeshaji wa mengi mengineyo yanayo saidia kwenye maisha ya kwetu ya kila siku, ku solve problems na kutoa majibu, yawe ki kazi au kiafya, ki imani au kimichezo.

Bili, zenyewe tu! zina uwa.


Neno @work.

© Neno